Unordered List

Definition List

Vera Sidika Afunguka: Mwili Wangu Ndio Biashara Yangu


Siku ya jana ya Ijumaa Vera Sidika alikuwa akifanyiwa mahojiano na kipindi cha runinga cha The Trend katika NTV Kenya na alichoongea kiliibua maswali tata.

Vera Sidika wakati wote alikuwa akijishasha kuhusu hela alizokua nazo na jinsi hupata pesa ovyo.

Moderator wa kipindi hicho Larry Madowe aliweza kumhoji kuhusu itachukua shilingi ngapi hadi yetote kuwa kama yeye na hivi ndivyo alivyosema:

* Wigi yake spesheli Ksh. 500K
* Viatu Ksh. 310K
* Kujichubua Ksh. 50 Milioni

Hizi zote ni shilingi za Kenya. Staa huyu pia alijitetea kuwa kujichubua kwake si hivi hivi bali ni spesheli na hakutumia kemikali za mtaani.

So pesa hizi zote dada huyu anazitoa wapi?
Kulingana na Vera Sidika, baadhi ya pesa zake hutokana na kuenda vilabu vya usiku, kushiriki na mashabiki wake, kuyaonyesha makalio yake makubwa na kupiga picha (selfies) na mafans wake. Kwa siku anaweza kupokea hadi Ksh. 200,000.

Vera pia alizungumzia miaka yake na kudai kuwa miaka yake ni 27.

Kuhusu mpenzi wake, Vera alidai kuwa ni tajiri flani ambaye anamiliki kisima cha mafuta. Amemuharibu kwa kuwa alikuwa akimpa pesa nyingi sana, $ 10,000 kwenda kufanya shopping pekee.

Vera alipoulizwa biashara yake kuu anayoifanya ni ipi alidai kuwa mwili wake ndio biashara (hapo utajaza wewe).
Vera Sidika Afunguka: Mwili Wangu Ndio Biashara Yangu Vera Sidika Afunguka: Mwili Wangu Ndio Biashara Yangu Reviewed by Admin on Saturday, June 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.