Unordered List

Definition List

Picha Za Mitego Za Huddah Monroe

Huddah Monroe nowadays amejikubali kuwa hapewi airtime ya kutosha katika mitandao ya kijamii. Amekuwa akijitetea kuwa ni heri awe na privary kuliko kushinda kila siku ukipondwa na wambea katika social media.

Siku hizi attention zimepewa kwa madada kama akina Vera Sidika na 'wakili' Corazon.

Lakini baada ya hizi picha utaelewa kuwa Huddah Monroe hayuko tayaru kuachilia kile alichojenga.


Picha Za Mitego Za Huddah Monroe Picha Za Mitego Za Huddah Monroe Reviewed by Admin on Tuesday, June 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.