Unordered List

Definition List

Mzee Majuto: Maisha Yangu Ni Comedy Tosha

Mchekeshaji  wa  muda  mrefu  Amri  Athuman  ‘Mzee  Majuto’  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kusema  kuwa  maisha  yake  ni  komedi  tosha  kutokana  na  kumvunja  mtu  mbavu bila  kujali  yuko  mahala  gani….
Akizungumza na  mwandishi  wetu, Mzee  Majuto alisema  yeye  hutoa  shoo  muda  wowote  bure   bila  kujali  yuko  katika  wakati  gani   kwani  maisha  yake  ni  komedi  tupu…
“Maisha  yangu  ni  komedi  tosha,siwezi  kuacha  kuchekesha.Wakati  mwingine  si  kwa  kupenda  bali  huwa  najikuta  tu  nimefanya  hivyo ,  inabidi  watu  wanizoee  tu….
KingMajuto
“Huwa  sina  nia  ya  moja  kwa  moja  kuchekesha  watu, lakini  kumbe  kauli  zangu  huwavunja  mbavu.Sijisikii  vibaya  kwa  hilo, najivunia  kuendelea  kuwa  msanii  ninayekubalika  hadi  umri  huu,”  alisema  mzee  Majuto
Mzee Majuto: Maisha Yangu Ni Comedy Tosha Mzee Majuto: Maisha Yangu Ni Comedy Tosha Reviewed by Admin on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.