Unordered List

Definition List

Video Ya Ngono Ya Mwanadada Mwenye Makalio Makubwa Kenya Kuvuja!?!

Wiki iliyopita blog ya bkuHABARI iliweza kumuangaza mwanamke mwenye makalio makubwa nchi Kenya Corazon na sasa kuna fununu na tetesi mpya....

Kuna uwezekano wa filamu ya ngono kuachiliwa ikimhusisha mwanadada huyu.

Inakuwaje?

Kulingana na chanzo kinachotufikia ni kuwa wakati flani mwanadada huyu aliweza kufanya video ya ngono na jamaa fulani na sasa anatishiwa kuwa aidha atoe hongo ya Ksh.300,000 (TShs.6,000,000) ama video yake ya ngono iachiliwe kwa umma.

Corazon akijirusha


Chanzo hicho pia kinadai kuwa mwanadada huyo ambaye anasomea Uwakili katika Chuo Kikuu cha Nairobi ameingiwa na mawazo ambayo yanamsumbua kuanzia kuwa maarufu na hadi sasa kutishiwa kuvujwa kwa video yake ya ngono.

Corazon katika mshiko

Unaonaje hapa? Atoe hongo ama amezee tu ili awe maarufu zaidi kama vile video ya Ngono ya Kim Kardashian ilivyomfaidisha
Video Ya Ngono Ya Mwanadada Mwenye Makalio Makubwa Kenya Kuvuja!?! Video Ya Ngono Ya Mwanadada Mwenye Makalio Makubwa Kenya Kuvuja!?! Reviewed by Admin on Sunday, March 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.