Unordered List

Definition List

Recho Aacha Tabia Za Kitoto, Wazijua!?

Recho -bkuHABARI
Recho kwa kipindi kirefu alikuwa na tabia zisizopendeza haswa akionekana kutokuwa na akili timamu au kuonekana na tabia za kitoto....sahizi msanii huyu amekiri kuwa tabia zake za ujana na utoto ameziweka mbali na mziki.

Tukio moja la kushangaza alilolifanya mwanadada huyu la kusikitisha ni ule wakati alipokuwa nchini Kenya na alianza kuwika mbele ya hadhira kuwa anataka kuliwa uroda na wakenya....Natumai hiyo siku aliweza kuridhishwa.

Lakini sasa mwanadada huyu amekua kiumri na kuanza kufikiria kama mwanadada aliyekomaa na haya ndio maneno yaliyotoka kinywani mwake kuhusu swala la kuachana na mambo ya zamani:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.”


Recho Aacha Tabia Za Kitoto, Wazijua!? Recho Aacha Tabia Za Kitoto, Wazijua!? Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

1 comment:

  1. Heri atulie maana alikuwa karibu kushikwa na wazimu

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.