Unordered List

Definition List

Agness Masogange Ajisifu: Hakuna Sehemu Ninayoipenda Kama Makalio Yangu

Baada ya Agness Masogange kuwapa utamu wa siku nyingi mafans wake, sasa amefunguka kwa nini anajipenda....kwa nini anayapenda makalio yake.

Staa huyu ambaye anajivunia kuwa ni miongoni mwa wanawake nchini Tanzania wenye makalio makubwa, ameongea na Bongowood kuhusu maumbile yake. “Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.”

Cheki baadhi ya picha ujue kwa nini Masogange anajipenda.
Masogange akijipiga picha anavyopenda yeye
Masogange akipimishana kati ya yeye na kiti nani mpana
Masogange akihakikisha kama nguo aliyoivaa inambana vizuri makalio ama ni feki
Agness Masogange Ajisifu: Hakuna Sehemu Ninayoipenda Kama Makalio Yangu Agness Masogange Ajisifu: Hakuna Sehemu Ninayoipenda Kama Makalio Yangu Reviewed by Admin on Monday, March 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.