Unordered List

Definition List

Nora: Nakerwa Na Wacheza Filamu Wanoongoza Ngono Mbele (Matapeli)

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa anakerwa na matapeli walioibuka ambao wanawatapeli wasanii wa kike wakiwadanganya kwamba wanawachezesha filamu kumbe ‘changa la macho’.

Akistorisha na paparazi wetu, Nora alisema hivi karibuni alikutwa na mkasa huo baada ya kupigiwa simu na wanaume wawili waliodai kwamba wana filamu yao hivyo wanataka wamchezeshe kama mhusika mkuu (main character) lakini baada ya kukutana nao, mazungumzo yao yalikuwa tofauti.
“Walinikera sana, waliniambia kwamba wanataka kunichezesha filamu lakini nilipoenda kuonana nao walibadili mazungumzo na kuanza kunitaka kimapenzi, ujinga mtupu, niliwakatalia,” alisema Nora.
Nora: Nakerwa Na Wacheza Filamu Wanoongoza Ngono Mbele (Matapeli) Nora: Nakerwa Na Wacheza Filamu Wanoongoza Ngono Mbele (Matapeli) Reviewed by Admin on Monday, March 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.