Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Amla Mate Live Fan Wake Chini Ya Jukwaa

Miley Cyrus ameacha kutoka kudengua makalio 'twerking' hadi sasa ameanza msururu wake wa kuwala mate wadada wanawake.

Miley wiki iliyopita aliweza kumla mate Katy Perry na pia aliweza kumla mate mwanadada Broke Candy ambayo video hio iliweza kuangaliwa sana kwa mtandao.

Round hii mwanadada huyu hajaachia hapo, katika tour yake ya Bangers, Miley Cyrus ameweka kumla mate sekunde kadhaa mmoja wa fans wake asiyemjua...

Cheki video yenyewe hapo chini:



Miley Cyrus Ambusu Fan Wake

Baada ya tukio hilo Miley aliweza kurusha hii tweet:  "Thanks for coming to the show mystery babe x,"

Wakubaliana na Miley na wengine wanaoeneza jambo hilo

Cheki .gif ya Miley Cyrus akipiga punyeto
Miley Cyrus Amla Mate Live Fan Wake Chini Ya Jukwaa Miley Cyrus Amla Mate Live Fan Wake Chini Ya Jukwaa Reviewed by Admin on Tuesday, March 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.