Unordered List

Definition List

Lulu Michael: Sitoavya Mimba Tena

Stori: Shakoor Jongo

STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti la Ijumaa juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.

Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa.
Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki gani?
Lulu: Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.

Hivi ni kweli Lulu Michael ana wapenzi wengi wa siri?
GPL
Lulu Michael: Sitoavya Mimba Tena Lulu Michael: Sitoavya Mimba Tena Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.