Unordered List

Definition List

Lupita Nyong'o Bila Makeup!!

Lupita Nyong'o amekuwa staa wa hivi karibuni kuingia katika list ya mastaa ambao washajitokeza wakiwa bila na makeup usoni.

Mastaa ambao washawahi kujitokeza hivi karibuni bila makeup ni ikiwemo Kim Kardashian na Demi Lovato baadhi ya wengine.

Wikendi iliyopita siku ya Jumamosi staa huyu mshindi wa Oscars aliweza kurusha picha yake latest kwa Instagram bila makeup yeyote ikiwa na maneno: "Lupita NY Staycation. Thank you, @theempirehotel for my first monogrammed gift. #theempirehotel,"

Cheki picha yenyewe:

Lupita Nyong'o Bila Makeup!! Lupita Nyong'o Bila Makeup!! Reviewed by Admin on Monday, March 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.