Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Katika Gazeti La Vogue: Ndoto Yake Ya Miaka Imetimia!

Ile ndoto ya Kim Kardashian aliyoingojea kwa muda mrefu sasa imetimia.

Ni kwa sababu amepata mtoto kwa jina North West? Sihivyo.

Ni kwa sababu YUKO KATIKA GAZETI LA VOGUE!!


Kwa furaha, staaa huyu aliingia kwa Twitter yake na kuweka maneno haya huku akiweka link ya picha yenyewe: "This is such a dream come true!!! Thank you @VogueMagazine for this cover! O M GGGGGG!!! I can’t even breath!"

Gazeti hili limemuonyesha Kim Kardashian akiwa amevalia aina fulani ya gwanda miezi tu miwili kabala harusi ya Kim Kardashian na Kanye West kufanyika Mei 24 Ufaransa.
Relax tukurudishe nyuma wakati wa kushoot tukio lote zima la wawili hawa. Unapewa ruhusa kama wewe ni shabiki wa Kimye upige makelele kwa kusema: Hatimaye Amefaulu!

Kim Kardashian Katika Gazeti La Vogue: Ndoto Yake Ya Miaka Imetimia! Kim Kardashian Katika Gazeti La Vogue: Ndoto Yake Ya Miaka Imetimia! Reviewed by Admin on Sunday, March 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.