Jamaa aliyeaminika kuwa na kipaji kikubwa katika tasnia ya nyimbo za rap amejiunga na kundi la kupinga serikali nchini Sudan Kusini.
K-Denk ambaye alikuwa akipendwa na wengi katika kipindi cha kukuza vipaji vya nyimbo Tusker Project Fame aliamua kujiunga na wanamgambo ili kuikandamiza serikali ya Sudan Kusini.
Soma pia Davis Msanii Aliyeshinda TPF Aachwa Maskini Baada Ya Kuzuzuliwa Na Mamanzi Wa Nai
K-Denk kabla kukimbilia vita nchini kwao na baadhi ya marafiki zake alikuwa amesaini mkataba na GrandPa Record nchini Kenya. Vita vilipolipuka nchini kwao aliamua kurudi nyumbani na kujiunga na kundi la wanamgambo linaloendeshwa na Riek Machar.
Kupitia mitandao ya kijamii, staa huyu amekuwa akiendeleza vitisho huku akidai kuwa hataki maisha yake ya mulikwe na vyombo vyovyote vya habari...
Cheki baadhi ya post na picha alizokuwa akizisambaza kwa mtandao bila wasiwasi wowote.
This has sparked varying reactions from his friends and fans some who are pro and some against him

at a compound of a General in MALAKAL. my problem is the current government not Dinka please
i am denied a life i deserve to live and so must be an OUTLAW
His stand has drawn attention and media personnel have been trying to interview him and few hours back he threw a bombshell to them,showing how uncontrollable he is and not downing the gun anytime soon.
I am not interested in any enterview. please stop inboxing me. MAGAZINES Authors & News Papers. radios and Tvs presenters. just do away please!!!!
This has sparked varying reactions from his friends and fans some who are pro and some against him
Njoka David So much Talent wasted..put Down the Gun n pick up the Mic..tht way u can make a bigger difference.·
Chidu T Gatdedoop Proceed man go ahead revenge cos what happened in Juba was not a joke. We no need any enemies friends.
Msanii Wa Rap Wa TPF Ajiunga Na Kundi Pinzani La Vita Dhidi Ya Serikali Nchini Sudan Kusini
Reviewed by Admin
on
Sunday, March 02, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano