Unordered List

Definition List

Jombi Atia Kufuli Sehemu Nyeti Za Mkewe Ili Asimuendee Kinyume

Jombi kutoka India, Sohanlan Chouhan,38 ametiwa mbaroni baada ya kutia kufuli sehemu nyeti za mkewe. Jambo hili la kushangaza lilitokea wakati mkewe Sitabai Chouhan alipofichua wakati alipopelekwa hospitali alipokuwa anataka kujiua. Mke huyo alikuwa amemeza sumu ya panya baada ya kugundua mumewe, aliyemtia kufuli, alikuwa anajaribu kumbaka mtoto wao.

Polisi waligundua kuwa mwanamke huyo ametiwa kufuli nyeti zake kwa muda wa miaka minne. Inasemekana Sohanlan alichukua hatua hio baada ya kuona kuwa wake wa jamii yake walikuwa wakiwaendea kinyume mabwana zao kwa hivyo ilimlazimu yeye kuchukua hatua mbadala.

Jamaa huyo aliweza kumpa dawa za kulevya bibi yake na kumtoboa sehemu zake za siri na pini na kumtia kufuli. Inasemekana alikuwa akimfunga asubuhi wakati alipokuwa akienda kazini na kumfungua jioni anaporudi.

Soma: Jombi Asinzia Juu Ya Kaburi Baada Ya Kutaka Kufanya Ngono Na Maiti
           Jamaa Apika Nyeti Zake Na Kuziuza

Polisi waliweza kuziona funguo ambazo alikuwa akizificha katika viatu vyake.


Jombi Atia Kufuli Sehemu Nyeti Za Mkewe Ili Asimuendee Kinyume Jombi Atia Kufuli Sehemu Nyeti Za Mkewe Ili Asimuendee Kinyume Reviewed by Admin on Wednesday, March 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.