Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Aendelea Kuwarushia Mafans Wake Mate...

Miley Cyrus ameacha kufanya mambo na kudengua makalio 'twerking' hadi sasa kutemea watu mate.

Baada ya siku chache staa huyu wa nyimbo ya Adore You kuwarushia mafans wake mate jijini Milwaukee, Miley alifanya zaidi ya hayo baada ya kupiga shoo Atlanta siku ya Jumanne.

Aliingia kwa mtandao wa Instagram na kujishasha baada ya kuweka picha hii.



"#fckyeahatlanta," Staa huyu aliambatanisha maneno haya katika picha hio

Miley Cyrus bado huko katika Banger tour lakini amepumzika kidogo kabla hajawanyeshea mafans wake na mate yake zaidi.

Wiki inayokuja staa huyu atakuwa nchi ya Uingereza, labda wanaweza kukutana na Katy Perry ili wamalizane na ahadi walizoapa kufanya.


Miley Cyrus Aendelea Kuwarushia Mafans Wake Mate... Miley Cyrus Aendelea Kuwarushia Mafans Wake Mate... Reviewed by Admin on Thursday, March 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.