Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Akisokota Bangi...'High As F-ck' Na Beste Yake

Miley Cyrus ashawahi kuvuta bangi mbele ya jukwaa.

So picha latest aliyoirusha kwa mtandao ikimuonyesha staa huyu akisokota msokoto wa bangi haitashtua wengi.

Miley Cyrus wikendi alikuwa akijihusisha na Wayne Coyne, mwimbaji katika bendi ya The Flaming Lips. Ok wawili hao walikuwa wakijihusisha na mambo ambayo hayakiuki sheria yeyote katika majimbo fulani nchini Marekani.

Katika mtandao wa Instagram, Wayne Coyne aliweka picha ya Miley Cyrus akisokotoa msokoto wa bangi na kuambatanisha maneno haya:
“Yup…… Recordin with Miley, High as f*ck…. #flaminglips #theflaminglips #tulsa  #lovemoneyparty.”


Tujuavyo ni kuwa Miley Cyrus hajaficha hisia zake kuwa yeye anapenda kutumia Marijuana na mara kadhaa ashawahi kupiga picha akiwa na shughli kama hizi.


Miley Cyrus Akisokota Bangi...'High As F-ck' Na Beste Yake Miley Cyrus Akisokota Bangi...'High As F-ck' Na Beste Yake Reviewed by Admin on Tuesday, March 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.