Jina la Irene Uwoya ni jina kubwa kwani lishawahi kupamba hata nchi ya Uchina. Staa huyu ambaye ashawahi kuingia katika skendo la usagaji round hii ameamua kuingia kwa mtandao na mwonekano mpya.
Kama ulitarajia aonyeshe tatoo zake za makalioni kama ameziongeza ama vipi basi umekosea. Staa huyu ameingia kwa mtandao kuonyesha vazi lake jipya na pozi la kuvutia.
Hebu cheki picha zenyewe kama ametoklezea...

Irene Uwoya Katika Picha Latest. Ametamanisha!!!
Reviewed by Admin
on
Monday, March 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano