Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Selfie: Kiuno Chembamba, Matiti Makubwa

Tunaweza kusema bila tatizo kuwa Kim Kardashian ameweza kupunguza mwili tangu alipoanza kupunguza uzani wa uja uzito.

Kim anaendelea kurusha picha zake za mitego mwa mtandao mara kwa mara...mwanzo uliiona zile picha za Kim akionyesha makalio yake na kifua chake? kama ulizikosa bahati yako mbaya coz picha hizo ziliusisimua mtandao noma!

Katika picha latest alizozirusha kwa mtandao wa Instagram jana, staa huyu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashian ameweza kutuonyesha mambo mawili, kiuno chake chembamba na matiti yake makubwa.

Cheki picha yenyewe:

Ok najua hapa lazima kuna watu watajitokeza na kuanza tena kumkashifu mwanadada huyu kuwa amefotoshop na kadhalika...lakini wadhani atashughulika!!


Kim Kardashian Selfie: Kiuno Chembamba, Matiti Makubwa Kim Kardashian Selfie: Kiuno Chembamba, Matiti Makubwa Reviewed by Admin on Thursday, March 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.