Unordered List

Definition List

Kim Kardashian: Angalia Kifua Changu! Na Makalio Yangu!

Kim Kardashian kwa mara nyingine ameonyesha maungo yake ya mwili tangu apate shepu mpya baada ya kumzaa Nori. Waikumbuka ile 'selfie photo' ya bikini iliyompagawisha Kanye West?

Kim round hii ameamua kugawa picha mpya akiwa na rafiki yake Blac Chyna, picha ya mwanza imeonyesha makalio yake na picha ya pili imemuonyesha Kim sehemu iliyomfanya yeye kuwa maarufu.

Pumzika ujiangalie mwenyewe picha hizi:

Kim Kardashian: Angalia Kifua Changu! Na Makalio Yangu! Kim Kardashian: Angalia Kifua Changu! Na Makalio Yangu! Reviewed by Admin on Monday, January 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.