Unordered List

Definition List

Msanii Aliyejeukia Injili Size 8 Adengua Makalio Alipokuwa Akipiga Shoo Ya Mateke

Msanii wa Kenya Size 8 ameamua kumrudia mungu kwa kuimba nyimbo za kiinjili, lakini kweli Yesu yuko ndani yake?

Katika shoo aliyokuwa akiipiga kwa kutoa nyimbo yake ya 'Mateke', size 8 amedhihirisha kuwa anachembechembe za upande mwingine.

Msanii huyu ametisha!!!

Katika picha zilizonaswa katika moja wapo wa shoo zake, Size 8 ameonekana akidengua mauno mbele ya mwanamume na.....

Hebu cheki baadhi ya picha:
Msanii Aliyejeukia Injili Size 8 Adengua Makalio Alipokuwa Akipiga Shoo Ya Mateke Msanii Aliyejeukia Injili Size 8 Adengua Makalio Alipokuwa Akipiga Shoo Ya Mateke Reviewed by Admin on Monday, January 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.