Unordered List

Definition List

North West Na Cousin Penelope: Wametokelezea (PICHA)

Kim Kardashian aliamua kuingia kwa mtandao wa Instagram baada ya mcheshi Joan River kufanya mizaha kuwa mtoto wake North West anatisha yaani yuko 'ugly'

Kim aliamua kuingia Instagram na kuweka picha North West akiwa na mtoto wa Kourtney Kardashian Penelope na kuweka maandishi haya:
"BFF'S"
 Katika picha hii imemuonyesha Penelope akimshikilia Nori huku amekaa kwa kiti.

http://images.thehollywoodgossip.com/iu/t_full/v1390599812/north-west-and-penelope.jpg 

 Adorable!!
North West Na Cousin Penelope: Wametokelezea (PICHA) North West Na Cousin Penelope: Wametokelezea (PICHA) Reviewed by Admin on Sunday, January 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.