Unordered List

Definition List

Diamond Akipokelewa Na Mamake Baada Ya Kusafiri Hadi Dar (PICHA)

Msanii Diamond baada ya kufanya shoo na kuzunguka jiji la Nairobi na kutangamana na mafans wake sasa ameamua kurudi nyumbani. Mapokezi yalikuwa ya kipekee kwani mzazi wake Diamond alikuwa wa kwanza kumpokea mwanawe baada ya safari ndefu toka Kenya.

Cheki matukio mazima yaliyotokea wakati Diamond alipokuwa uwanja wa ndege wa Nairobi hadi Dar huku akiandamana na kikosi chake cha musiki



 

























Diamond Akipokelewa Na Mamake Baada Ya Kusafiri Hadi Dar (PICHA) Diamond Akipokelewa Na Mamake Baada Ya Kusafiri Hadi Dar (PICHA) Reviewed by Admin on Tuesday, January 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.