Unordered List

Definition List

Matukio 10 Ya Miley Cyrus Ambayo Hayatoacha Kushangaza Wengi

Kama wewe ulikuwa ukimshabikia Hanna Montanna basi bila shaka umeachwa kinywa wazi na staa huyu kwa jina Miley Cyrus. Staa huyu alipokuwa Hanna aliwafanya wengi kumtamani na wengine walikuwa role model kwa mwanadada huyu lakini hivi karibuni staa huyu amejeuka kabisa.

Alipozidi kuwa maarufu ndipo alivyozidi kuharibika na hakuna mtu alijuwa kama staa huyu angelijeuka ghafla.

Mpende au mchukie staa huyu hatoacha kufanya mambo yake kama kawaida.

Hebu fungua slideshow hapo chini uangalie matukio yake ya kushangaza kwa mwanadada huyu.
Matukio 10 Ya Miley Cyrus Ambayo Hayatoacha Kushangaza Wengi Matukio 10 Ya Miley Cyrus Ambayo Hayatoacha Kushangaza Wengi Reviewed by Admin on Thursday, January 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.