Unordered List

Definition List

Kim Kardashian na Kanye West Kufanya Harusi Varsailles


Imekuwa wiki ndefu kwa Kim baada ya kupeleka madai kwa polisi kuwa anatishiwa kuuliwa na picha mpya za North West, lakini kwa sasa tunajua kuwa ndoa ya Kimye itafanyika mwaka 2014!

Bila shaka!

Huku Paris Fashion Week ikiendelea, inasemekana kuwa wawili hawa walikuwa wakizunguka wakitafuta sehemu nzuri ya kubadilishana pete.

"Wameshaanza kutafuta sehemu watakayofanya ndoa yao, na Versailles wameiona kuwa sehemu nzuri ya kufanya ndoa yao." Chanzo fulani kiliongea. Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa Versailles walichagua toka kitambo baada ya tetesi kuvuja kitambo

Wawili hao pia walitembelea Faubourg St. Honore, hotel inayojulikana kuweka siri za watembeleaji wake.

Lakini uvumi unaoendelea kuwa harusi ya Kimye itafanywa Vasaille kumefanya wasimamizi wa jumba hilo la kifahari kuweka meseji ya twitter kuwa Kimye bado hawajawasiliana nao kuhusu maandalizi ya harusi yao.
"No official request has been made by @kanyewest and @KimKardashian for the Palace of #Versailles."

Kutaka kujua matokeo zaidi labda uangalie kipindi cha Keeping Up With The Kardashian online ambacho kilianza tarehe 19
Kim Kardashian na Kanye West Kufanya Harusi Varsailles Kim Kardashian na Kanye West Kufanya Harusi Varsailles Reviewed by Admin on Tuesday, January 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.