Unordered List

Definition List

SNURA, a.k.a Mamaa Majanga Apagawisha Dar Live (VIDEO)


Nani hamjui Snura, mwanamke mwenye kiuno kinachozuzua kila mwanamume anayekiona, mwanamke mwenye uwezo wa kuufunga mtaa mzima ili waweze kuangalia akidengua kiuno.

Kiufupi kama wewe humfahamu Snura wangojea nini?!?

Wanaomfahamu wanamjua mambo yake, mambo ya kimajanga.

Siku ya kuzindua mwaka mpya Snura alikuwa Dar Live akifanya mambo yake, kupagawisha mafans wake pamoja na kikundi chake kizima.

Shoo ilikuwa bab kubwa na ilikuwa ya kusisimua kiasi cha kufanya waume wa.....

Hebu cheki tukio lililonaswa siku ya 31 Desemba mwaka jana halafu ujaze mwenyewe.

Ilikuwa siku ya majangaaaaaaaaaaaaaaa


 
SNURA, a.k.a Mamaa Majanga Apagawisha Dar Live (VIDEO) SNURA, a.k.a Mamaa Majanga Apagawisha Dar Live (VIDEO) Reviewed by Admin on Friday, January 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.