Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aanguka Katika Video - Hebu Iangalie Sahizi

Wote ambao washaiona video ya ngono ya Kim Kardashian wanajua Kim anajua kuigiza vyema katika kamera.

Haswa wakati ambapo yuko katikati ya miguu ya mtu flani.

Katika video iliyochukuliwa na Scott Disick wakiwa Park City, jijini Utar, imemuonyesha Kim akajaribu ku'skii' kwa barafu chini ya miguu ya dadake Kourtney Kardashian.

Kama kawaida, Kardashian aliweza kumuangukia mgongoni mwake, jambo ambalo hutokea wakati video kama hii ikichukuliwa na mwanamume.

Hebu itazame mwenyewe hapa chini:


Kim Kardashian aanguka katika mteremko
Kim Kardashian Aanguka Katika Video - Hebu Iangalie Sahizi Kim Kardashian Aanguka Katika Video - Hebu Iangalie Sahizi Reviewed by Admin on Friday, January 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.