Unordered List

Definition List

FULL UDAKU: Penzi La Prezzo Na Mtoto Wa Kichaga Charlisha

Wakati mapenzi yanaanza kuchanua kati ya Rapcellency Prezzo na mrembo wa kichaga kutoka Tanzania Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie mwaka jana, wengi tulidhani huenda zile
ndramadrama zilizojitokeza kwa wapenzi wa rapper huyo waliopita zingepungua au kuisha kabisa, lakini tayari kuna bomu limeshalipuka.

Huwa wanasema penzi ni kikohozi sababu kulificha huwezi ndio maana tulishuhudia jinsi mapenzi yalivyokuwa moto moto, na kama ni hivyo pia penzi ni kama chafya yakiharibika si rahisi kuficha cheche za kutoka ndani.
Kupitia Instagram mpenzi wa Prezzo Chagga Barbie leo amevujisha moshi unaofuka ndani ya uhusiano wa wawili hao, kwa kupost ‘private message’ walizokuwa wakichat kabla ya mambo kuharibika.

Alipost picha hii na kuandika, ‘Y nime post baadhi ya chat ni kwasababu umeanza kwa kushare kwa dada zako sasa ntarusha voice note watu wakusikie live ulivyokuwa stupid mwanaume tumamu ha act Kama K*ma kaa wewe, eti hapa ulikuwaukijibabishaaaaa lol unajua hapa nilipokuangalia ndipo nilianza kustuka nikasema huyu babu mwenye rangi za blonde kaa mie nafanya nae nini?’ Ameandika Chagga Barbie muda mfupi uliopita.
Moja ya message hizo inaonesha kuwa Prezzo na mpenzi wake walikuwa wakimjadili Diamond Platnumz ambaye mwaka jana waliwahi kuwa na beef ambayo baadaye iliyeyuka.
chagga-2
Katika post hii Chagga Barbie aliandika:
‘Unatengeneza ma video yasiyonakiwango Kutwa kumponda Diamond Mara ngapi nimemtetea huyu kinara wa East Africa usie mkubali wewe unamuita mwenzio sijui Mwajuma wewe na yeye Nani Mwajuma kaa sio wewe Natafuta namna yakuweka ur voice notes watu wakusikilize kibuyu wewe @anithakajumbula ndio kaniomba nijifanye mjinga ni cool off nikuambie yaishe kuma wewe unaevaaa boxer’
Makombora yaliendelea kutoka kwa mtoto huyo wa Kichaga anayeonekana kuwa na mkwanja wa kutosha.
chagga-3
‘Wewe Serengeti Boy uki beg nikwambie nakupenda ilikuwaje?????’
chagga-4
Katika post nyingine Starlisha ameandika:
‘chaggabarbie Sasa ukibembeleza ni kuwish Happy Bday japo nikupost ilikuwaje? Sasa nitaweka msg zote mpaka ukibembeleza nikununulie hadi Giusseppe Sneakers Ukiomba Nikupe Ticket Mat*ko wewe, mwanaume gani wewe Mario wewe ulifikiri mie nahonga mburula kaaa wewe? Nimezoea kutunzwaaaaa…….siilikuwa Ukiomba nikufichie Siri Kibamia wewe……… ‘
Upande wa Prezzo kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika:
1st they love me then they hate me then they love they love me again…. #MswatiSpeaksHisMindVolumeTwo #TrulyUnruly #Rapcellency.
Mashambulizi kutoka kwa kambi ya Prezzo hayakuishia hapo. Dada yake na Prezzo aitwaye Kay Kivile akamlipua Chagga Barbie kwa picha hii:
9dc6c79481d311e3a9720e7aedef815c_8
Kay Kivila ameandika: Mtu anaweza akawa haongei lakin ndugu zake hawawezi kukubali………… nimeshakatazwa lakin leo sina moyo wa subira ingawa juzi niliuliza kama watu mnasamehe……. Hapo enzi ni baby yake prezzo katoka kufanyiwa operation ya kutoa tumbo, ulizeni hizo hela za shughuli alitoa nan sasa,,, anaeitwa SERENGET BOY ndo alizitoa.
Source:Bongo5
FULL UDAKU: Penzi La Prezzo Na Mtoto Wa Kichaga Charlisha FULL UDAKU: Penzi La Prezzo Na Mtoto Wa Kichaga Charlisha Reviewed by Admin on Monday, January 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.