Unordered List

Definition List

Lady Gaga Amefanya Upasuaji Wa Pua?!? (PICHA)

Lady Gaga kwa miezi kadhaa tangu arudi kwa gemu utagundua kuwa umbo lake limebadilika, haswa pua yake.

Picha ambazo staa huyu wa albamu ya Applause amekuwa akiziachilia kwa mitandao zimemueka tofauti kabisa. Pengine inaweza kuwa ni make up anazojipaka na vipodozi kadhaa lakini picha aliyoirusha hivi juzi kwa mtandao wa Instagram imeonyesha ndivyo sivyo...msanii huyu amefanya plastic surgery.

Picha hio ilionyesha pua yake ikiwa ndogo zaidi na kuna fundo pale mwisho.

Hebu iangalie picha yenyewe:
http://images.thehollywoodgossip.com/iu/t_full/v1390599356/lady-gaga-nose-job-photo.jpg
Lady Gaga na pua mpya, amefanya upasuaji?


Ukiangalia na picha zake za zamani utaona utofauti mkubwa katika pua yake.

http://images.thehollywoodgossip.com/iu/t_full/v1390599399/lady-gaga-selfie.jpg
Lady Gaga zamani
Wataalam wameongezea kuwa mtu akifanya upasuaji utamgundua na pua yake, kawaida kuna fundo pale mwisho.
Lady Gaga Amefanya Upasuaji Wa Pua?!? (PICHA) Lady Gaga Amefanya Upasuaji Wa Pua?!? (PICHA) Reviewed by Admin on Sunday, January 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.