Unordered List

Definition List

Shamsa Ford Aongea Baada Ya Picha Za Uroda Zake Na Mbunge Wa CHADEMA Kuvuja


Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu jana,.

Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwa sababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa Ford ana umbo tofauti na la star huyo, Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane.

Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema, blog ya Swahiliworldplanet ilimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini Shamsa alisema sio zake hizo picha zimetengenezwa na pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo.

Alipoulizwa je anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana kujuananae achilia mbali kuwahi kukutana nae "zimedaiwa kuwa ni mimi but sio mimi, naomba uangalie hizo picha vizuri au kama upo WhatsApp nikutumie halafu uone je ni mimi? Akabla sijakujibu" Shamsa alifunguka.

Star huyo anayefanya vizuri na filamu kibao aliendelea kwa kusema "si umbo hata sura ni tofauti, sijawahi hata kumuona huyo mheshimiwa, nahisi ni watu ambao wananichukia wanataka kunichafua, kiukweli nawaomba mashabiki wangu kabla ya kuanza kunihukumu waziangalie kwanza hizo pictures vizuri, mimi nina familia na najiheshimu "Kwa upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa picture hizo ni za kutengenezwa kwa sababu Mh.Machemli ana kitambi lakini katika picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa picha hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ngono na kufanyiwa photoshop lengo lake likiwa ni la kumchafua kisiasa mbunge huyoambaye anadaiwa kukumba na misukosuko ya mara kwa mara.

Hata hivyo ukweli wanaujua wenyewe.
Cheki picha yenyewe tata.

Shamsa Ford Aongea Baada Ya Picha Za Uroda Zake Na Mbunge Wa CHADEMA Kuvuja Shamsa Ford Aongea Baada Ya Picha Za Uroda Zake Na Mbunge Wa CHADEMA Kuvuja Reviewed by Admin on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.