Unordered List

Definition List

Lupita Nyong'o Katika Gazeti La Vogue. Ametisha!!!

Lupita Nyong'o amekuwa akimake headlines ulimwengu mzima kwa mambo kadhaa.

Hivi majuzi alimake headline zaidi kwa kuwa alitajwa kama the most beautiful woman in the world.

Gazeti la Vogue limedhihirisha kuwa Lupita Nyong'o kweli ni beautiful woman kwa kumuweka katika front cover ya Vogue Magazine.


Gazeti la Vogue ni gazeti kubwa na maarufu zaidu ulimwenguni kwa models.

Lupita kuhojiwa na Vogue alikuwa na haya maneno:
"It just feels like the entertainment industry exploded into my life. People who seemed so distant all of a sudden were right in front of me and recognizing me - before I recognized them!"

Hivi kuna zaidi ya kuonekana kutoka kwa mzawa huyu wa Kenya kwani tayari amepewa role katika Star Wars
Lupita Nyong'o Katika Gazeti La Vogue. Ametisha!!! Lupita Nyong'o Katika Gazeti La Vogue. Ametisha!!! Reviewed by Admin on Friday, June 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.