Unordered List

Definition List

Picha Za Recho Zilizozua Hisia Tofauti Tofauti Kwa Mtandao

Msanii wa bongo fleva Recho anajulikana kuwa mwenye utata haswa baada ya ile skendo ya kutamani kuliwa uroda na wakenya na hii ya juzi kati ambayo alifanya shoo akiwa 'uchi'.

Katika picha alizozirusha kwa mtandao wengi waliishia kudai kuwa ni picha za uchi, wengine kudai picha za mitego na wachache kudai ni picha za heshima.

Cheki picha zenyewe ujijazie



Picha Za Recho Zilizozua Hisia Tofauti Tofauti Kwa Mtandao Picha Za Recho Zilizozua Hisia Tofauti Tofauti Kwa Mtandao Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.