Unordered List

Definition List

Lady Gaga Azua Hisia Kwa Watetezi Wa Wanyama Baada Ya Kumtendea Huyu Mbwa Hivi

Lady Gaga anajulikana kuwa mwimbaji mwenye ladha tata kwa uvaaji wa nguo zake, lakini baada ya kumvalisha huyu mbwa hivi amezua mjandala mkuu kwa watetezi wa haki za wanyama kuhusiana na uhuru wa Lady Gaga kumvalisha shanga mbwa wake.
Huyu ni mbwa wa Lady Gaga aina ya French Bulldog ajulikanae kama Asia. Lady Gaga ameweza kumpamba vipodozi hivi kwa ajili ya kufanya mizaha lakini jambo hili halijawaridhisha watetezi wa haki za wanyama kama vile PETA.

Kulingana na statement iliyotolewa na watetezi hao wanadai kuwa Lady Gaga ana haki zote za kujipamba na kuvalia nguo zozote azipendazo lakini Asia hana haki ya kumfanyia hivyo.
"Lady Gaga may choose to decorate herself with elaborate and even uncomfortable outfits, but Asia doesn't get to make that choice,"

Hii itakuwa ni skendo ya pili kwa muda wa wiki moja ambapo awali kwanza Gaga anaandamwa na skendo la  video yake Do What You Want iliyovuja wiki iliyopoita ambapo imesemekana kuwa video hio ni ya XXX inayoonyesha sehemu nyingi za ngono

Lady Gaga Azua Hisia Kwa Watetezi Wa Wanyama Baada Ya Kumtendea Huyu Mbwa Hivi Lady Gaga Azua Hisia Kwa Watetezi Wa Wanyama Baada Ya Kumtendea Huyu Mbwa Hivi Reviewed by Admin on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.