Unordered List

Definition List

Lupita Nyong'o Katika Mauzo Ya Tiente, Imewanyamazisha Wengi


Baada ya kutoka tangazo kuwa Lupita Nyong’o atakuwa kisura wa kwanza mweusi kwenye bidhaa ya Lancome, wengi walianza kumkosoa kwa uamuzi wake kwa kuwa kampuni hiyo ina bidhaa za kujichubua ngozi.

Hata hivyo, picha ya kwanza ya kampeni ya Lupita kwa bidhaa tofauti za kampuni hiyo zimewanyamazisha walioanzisha mgogoro huo. Lupita ameitangaza Tiente Idole Ultra 24H.

Sasa kampuni hiyo imetangaza ngozi nzuri ya mrembo Lupita Nyong’o bila kuwa na dalili za kujichumbua. Huenda ikawashawishi wateja wao kuachana na mpango wa kujichubua kwa kuwa black is beauty.
Lupita Nyong'o Katika Mauzo Ya Tiente, Imewanyamazisha Wengi Lupita Nyong'o Katika Mauzo Ya Tiente, Imewanyamazisha Wengi Reviewed by Admin on Thursday, June 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.