Unordered List

Definition List

Picha: Rick Ross Apunguza Mafuta, Ataka Shepu Yakuvutia

Sote tunajua kuwa na mwili mnene mwishowe kutakuletea madhara ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yako.

Kufuatilia hilo, Rick Ross ameamua kuupunguza mwili wake mkubwa kadri iwezekanavyo.


Katika picha hapo juu imemuonyesha Rick Ross akifanya shoo Novemba 2013, na ya pili akisherehekea birthday yake Juni 14. Kwa umakini zaidi utagundua mashavu ya Rick Ross yamepungua kwa kiasi.

Akifanya mahojiano na kituo cha redio, Rick Ross alikiri kuwa ameamua kuupunguza mwili wake na sahizi anafuatilia mbinu mwafaka ya chakula ili kupunguza uzani.
“It was just time for me to tighten up a little bit, you know what I’m saying. As far as, you know, me working out…I have no destination, no specific weight,”

Kulingana na E! Online, Rick Ross amesema anatumia ufumo wa mazoezi uitwao CrossFit Workouts ili kutengeneza shepu yake.
Picha: Rick Ross Apunguza Mafuta, Ataka Shepu Yakuvutia Picha: Rick Ross Apunguza Mafuta, Ataka Shepu Yakuvutia Reviewed by Admin on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

1 comment:

  1. Sioni tofauti ya haja kwa huyu jamaa mwanzo naona tumbo lake limezidi hata zaidi

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.