Unordered List

Definition List

Picha: Octopizzo Aringa Na Kiatu Cha $10,000

Tunawajua wasanii matajiri nchini Kenya. Kuanzia Prezzo kuonyesha bunduki yake ya dhahabu hadi kwa Jaguar kusafiri Marekani na private jet.

Je na hao wengine?

Octopizzo, staa aliyejitambulisha mwenyewe kama king of hip hop ameonyesha kwa mtandao wa kijamii kiatu chake chenye gharama ya $10,000.

Katika Instagram aliweka picha ya kiatu chenyewe na haya maandishi:
My 88th pair You want a pair#HALA#SHOEICIDE#HALA_ATCHA_BOY#ItsNambaNaneVSeverybodY#RedSwagg!!


Viatu hivi waambiwa second hand wavipata kwa bei ya dola 6,000.

Hii ndio yaitwa kufuru sasa
Picha: Octopizzo Aringa Na Kiatu Cha $10,000 Picha: Octopizzo Aringa Na Kiatu Cha $10,000 Reviewed by Admin on Wednesday, June 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.