Unordered List

Definition List

AbdulAziz, Mtangazaji Huru Somalia Akiri Kuwa Alshaabab Wamehusika Katika Mauaji Kenya

Mtangazaji huru anayefuatilia mambo yanayotea nchini Somalia haswa kuhusu AlShabab, AbdulAziz amekiri kuwa kundi la kigaidi la Alshabaab limehusika katika ugaidi Kenya.

Kupitia akaunti ya Tweeter ya AbdulAziz kwa handle ya @abdulazizHOA ameeleza kwa bayana kuwa alshabaab wamejiteka majukumu kuwa wao ndii wahusika wakuu.

Katika tweets alizokua akiziachilia kwa zamu, AbdulAziz anaeleza kuwa alshabaab huo ni mwanzo tu na zaidi yakutarajiwa yatatokea.

Cheki tweets zake:

@AbdulazizHOA:#Breaking: A #shabaab official tells me they carried out the#MpeketoniAttack, saying it was in revenge for #KDF massacre inside #Somalia."

#Alshabaab official: "mujahedeens inside#Kenya attacked infidels bases in#Mpeketoni, we outpowered them & killed countless in the process."

@AbdulazizHOA:#Shabaab: our targets were infidels bases in #Mpeketoni & we executed our mission successfully- i say their bodies r everywhere, countless.""

@AbdulazizHOA:#AlShabaab to me: the#MpeketoniAttack was in revenge to #KDF continuation of massacre inside #Somalia- they kill innocents with strikes."

Alshabaab wameapa manapanga kuporomosha baadhi ya majumba makubwa nchini Kenya.
AbdulAziz, Mtangazaji Huru Somalia Akiri Kuwa Alshaabab Wamehusika Katika Mauaji Kenya AbdulAziz, Mtangazaji Huru Somalia Akiri Kuwa Alshaabab Wamehusika Katika Mauaji Kenya Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.