Unordered List

Definition List

Sababu Za Wema Sepetu Kunyoa Kipara


Wengi walikuwa wanajiuliza kunani, haswa siku Wema Sepetu alipoamua kunyoa Dongo, huku kila mtu akitoka na story yake mwenyewe kwa mtazamo tofauti bila hata kujua sababu halisi ya uamuzi wake huo, ila ukweli ni kwamba, Diva huyu ni moja kati ya wasanii wanaochukua kazi yake very serious, na hii ndio siku alipoamua kupotezea urembo wake na kuvaa uhusika wake uliomlazimisha kuchukua hatua hiyo ya kunyoa upara.

Akiwa anaongea katika nyakati tofauti alisikika akifunguka kuwa, movie mpya yake anayoifanya iitwayo Family ndio iliyomfanya anyoe upara, huku akielezea kuwa ilimbidi kufanya hivyo kutokana na uhusika aliotakiwa kuvaa, uliokuwa unaelezea mtu mwenye ugonjwa wa saratani.

Wema ni moja kati ya wasanii wachache ambao hadi hii leo wana uwezo wa kufanya hivi ili tu kufikisha maudhui ya story iliyokusudiwa kwa jamii.
Sababu Za Wema Sepetu Kunyoa Kipara Sababu Za Wema Sepetu Kunyoa Kipara Reviewed by Admin on Tuesday, June 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.