Unordered List

Definition List

Prezzo Aonyesha Pete Ya Dhahabu, Pesa

Baada ya Octopizzo kuonyesha viatu vyake alivyovinunua kwa $10,000 kwa Instagram, sasa rais mwenyewe anayemilika mziki wa rap nchini Kenya Prezzo kwa mara nyingine ameonyesha ukwasi wake.

Prezzo wakati flani alionyesha bunduki yake ya dhahabu na sasa anaonyesha tu asilimia flani ya pesa zake na pete yake ya dhahabu.
Cheki picha yenyewe

Prezzo amejitangaza kuwa yeye ndiye tajiri zaidi katika tasnia ya mziki nchini Kenya
Prezzo Aonyesha Pete Ya Dhahabu, Pesa Prezzo Aonyesha Pete Ya Dhahabu, Pesa Reviewed by Admin on Sunday, June 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.