Unordered List

Definition List

Irene Uwoya: Navutiwa Na Wanaume Wazuri Wasio Na Vitambi


Haya ni mahojiano yaliyofanywa na Vibe na Irene Uwoya.

Who come to your mind when I mention the following?
Sexy -mpenzi wangu wa sasa Msami.
Role model -Angelina Jolie.
Sexy but not my type -Rambo.
Kitu gani hakiwezi kukosekana kwenye fridge lako? Juice ya passion.
One male actor you would love to get naughty with and why? Brad Pitt coz he’s the sexiest actor alive.
Mwanaume wa aina gani anakuvutia? Awe kijana mzuri asiye na kitambi.
Chakula gani ukimuona mtu anakula husubiri ukaribishwe? Makande nayapenda mpaka basi.
Kitu ambacho ungependa kubadilisha kwenye Bongo movie industry? Umbea na makundi ya bongo movie sipendi kuona hivyo.
The most important person in your life… Mwanangu Krish – he’s everything to me.
Money or Fame? Kwangu fame kwani mtonyo ninao mwingi tu.
Nguo gani ni vigumu kuikutakwenye kabati lako? Chupi – sipendi kabisa hilo vazi.
Irene Uwoya: Navutiwa Na Wanaume Wazuri Wasio Na Vitambi Irene Uwoya: Navutiwa Na Wanaume Wazuri Wasio Na Vitambi Reviewed by Admin on Monday, June 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.