Unordered List

Definition List

Alichofanya Shilole Katika Kili Tour

Imetokea kushangaza wengi sana kwa tukio hili la aina yake alilosababisha msanii wa Bongo fleva mwenye miondoko tofauti kabisana ya HipHop,

Story nzima ilikuwa hivi: Wakati mzee wa mitulinga maarufu kama Prof J alipokuwa anaperform huko mjini Songea kwenye Kili tour, mara ghafla Shilole akavamia shoo na kuanza kuimba Nyimbo ya zali la mentali, aliyokuwa anaiimba Professor J, jambo hili lilisababisha mashabiki wengi sana kupiga kelele za shangwe pale kati wakimshangilia mwanadada huyo na kuwaachaw engine midomo wazi wa kutoamini kwa tukio hilo lililotokea.

Hii inaonyesha kukubalika sana kwa mkongwe huyu hata na wasanii wenzake, na wengine kushindwa kujizuia kupiga shangwe hasa pale akikumbushia nyimbo zake zilizowahi ku-make headlines enzi za mwalimu.
Alichofanya Shilole Katika Kili Tour Alichofanya Shilole Katika Kili Tour Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.