Unordered List

Definition List

Kitale Apinga Uzushi Wa Penny Ni Mpenzi Wake


Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.

Kitale akizungumza Global TV hivi karibuni,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha ambazo zinaonyesha Penny wakati akimbusu Kitale.

“Penny mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae , mimi nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa yangu”Alisema Kitale.

Je huru ndiye kweli mpenziwe wa Penny kama alivyodai awali
Kitale Apinga Uzushi Wa Penny Ni Mpenzi Wake Kitale Apinga Uzushi Wa Penny Ni Mpenzi Wake Reviewed by Admin on Tuesday, June 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.