Unordered List

Definition List

Michelle Obama Nusra Apigwe Picha Uchi Katika Hili Tukio

Tukio zima lilitokea wakati Michelle na Obama waliposhuka kutoka ndege yao ya Airforce katika uwanja wa Palm Spring International airport jijini Carlifonia.

Upepo uliokuwa ukivuma kwa kasi uliipeperusha nguo ya Michelle kwa hasira jambo ambalo lilimfanya Michelle kujitetea kadri iwezekanavyo kukwepa kamera za mapaparazi kupiga sehemu zisizotakikana.

Cheki picha yenyewe


Ilimfanya hadi Obama mwenyewe kuingilia kati.
Tukio hili lilitokea Ijumaa iliyopita
Michelle Obama Nusra Apigwe Picha Uchi Katika Hili Tukio Michelle Obama Nusra Apigwe Picha Uchi Katika Hili Tukio Reviewed by Admin on Sunday, June 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.