Unordered List

Definition List

Aunt Ezekiel; Sijaona Mtu Wakunipachika Mimba

Aunt Ezekiel amesema bado hajaona mwanaume anayeweza kumtia mimba na hatimaye kuitwa baba wa watoto wake.


Akipiga stori na mwanahabari wetu , Aunt Ezekiel amedai kuwa kuna wakati unaweza kumuona yupo kwenye ndoa au uchumba lakini haimaanishi kuwa kuwepo katika mazingira hayo ndo anaweza kuzaa au kushika mimba kwani suala hilo kwake ni kubwa sana na hajafikiria kama linaweza kutokea kwa sasa…

“Siyo kwamba sina uwezo wa kubeba mimba, hapana, suala kubwa hapa ni kwamba bado sijaona mwanaume wa kunizalisha.“

Ni kweli nilikuwa kwenye ndoa lakini sikutaka kubeba mimba na ndo maana hadi sasa hivi nipo kama ninavyoonekana,” alisema Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel; Sijaona Mtu Wakunipachika Mimba Aunt Ezekiel; Sijaona Mtu Wakunipachika Mimba Reviewed by Admin on Sunday, June 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.