Unordered List

Definition List

North West Atimiza Mwaka Mmoja, Kimye Wameapa Kumharibu

Siku ya jana ya Fathers Day ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mtoto bora zaidi ulimwenguni, North West.

Mtoto huyu ambaye majina yake yametokana na majina ya dira ya ulimwengu ni wa Kim Kardashian na Kanye West.

Kulingana na chanzo kilichoongea na Hollywoodlife ni kuwa Kimye wanataka kumfanyia North West saprize party ambayo haijawahi kufanyika kamwe ulimwenguni.

Kando na hapo ni kuwa Kimye wamemnunulia Nori lulu yenye uzani wa karat 400 ya rangi ya pinki.

Pia inasemekana wamemjengea nyumba Nori ya Wendy House inayofanana na Meditarrenean Villa ambamo humo ndani kuna kila kitu ikiwemo aircondition, cable tv, maji ambayo jumla imegharimu £30,000.

Ukiskia celebrity babies basi hu ndio mfano mzima.
North West Atimiza Mwaka Mmoja, Kimye Wameapa Kumharibu North West Atimiza Mwaka Mmoja, Kimye Wameapa Kumharibu Reviewed by Admin on Monday, June 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.