Unordered List

Definition List

Alichosema Diamond Platnumz Akiwa BET Awards Welcome Party


Wakati Diamond Platnumz akiwa buzy huko Los Angels kwenye welcome party ya BET Awards, huku nyuma Tanzania hakuwa mchoyo wa maneno, hasa pale alipopata taarifa kwamba ameondoka na tuzo jana usiku, tuzo za watu, ikiwa video ya My number1 ndio imeshikilia kama video bora ya mwaka inayopendwa zaidi na watu.

“Nazidi kumshukuru Mungu, kwa kila hatua njema niipigayo ,Nawashukuru mashabiki wangu wa kweli mnaonipa sapoti inayonipa nguvu ya kukaza ili niwafanyie vizuri kila siku,kura zenu zimeipa kibari video ya number 1 kuwa video inayopendwa zaidi,niwashukuru Bongo 5 ,Mama angu,team yangu ya wasafi ninayokesha nayo usiku na mchana kuhakikisha unapata kile unachostahili..na wote wanaoshiriki kwa namna moja ama nyingine kuniweka hapa nilipo.AHSANTENI.Good day“-alifunguka Diamond akiwa huko Los Angeles nchini marekani kwenye party ya kuikaribisha tuzo za BET, moja ya harakati zake za kuiwakilisha tena Tanzania kwenye ulimwengu wa muziki.
Alichosema Diamond Platnumz Akiwa BET Awards Welcome Party Alichosema Diamond Platnumz Akiwa BET Awards Welcome Party Reviewed by Admin on Saturday, June 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.