Unordered List

Definition List

Hivi Ndivyo Alivyosema Luiz Suares Baada Ya Kumuuma Giorgio Chiellini

Luiz Suares alipomuuma defender Giorgio kwa akaunti yake ya Twitter alidai kuwa hajutii kufanya kitendo hicho. Pia alidai kuwa Giorgio alikuwa mtamu. Pia aliongeza kuwa chakula cha Italiano kinapendwa sana n watu kwa sababu ni kitamu.

Cheki Tweet yenyewe



Sijui ni Tweet yake ama ni mambo na utandawazi
Hivi Ndivyo Alivyosema Luiz Suares Baada Ya Kumuuma Giorgio Chiellini Hivi Ndivyo Alivyosema Luiz Suares Baada Ya Kumuuma Giorgio Chiellini Reviewed by Admin on Friday, June 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.