Unordered List

Definition List

Chris Brown Akifanya Shoo BET Awards, Atoa Nyimbo Mpya

Imekuwa official staa wa nyimbo 'Aint Loyal' hajapoteza miondoko yake ya kucheza baada ya kutolewa jela.

Hii ni baada ya kupiga shoo bab kubwa siku ya jana Jumapili wakati wa tamasha la BET Awards 2014.

Cheki video ya Chris akifanya miondoko yake ajab BET

Staa huyu ambaye aliachiliwa kutoka jela mwanzoni mwezi Juni hakusimamia hapo baada ya kufanya shoo yake katika BET Awards.

Haikuchukuwa muda mrefu baada ya BET kuisha, staa huyu mwenye miaka 25 aliingia mtandao wa Twitter na kuachilia ngoma yake mpya inayojulikana kama 'New Flame'

Amemshirikisha Usher na Rick Ross. Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapo chini

Chris Brown Akifanya Shoo BET Awards, Atoa Nyimbo Mpya Chris Brown Akifanya Shoo BET Awards, Atoa Nyimbo Mpya Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.