Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Afunguka: Diamond Is My Man, Am Her Woman


Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwa kuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.

“Tumeexperiance good time together, bad time together, sad time, happy times.

Sasa hivi tumefika point tumetulia.

Tumeshaumizana, yeye kashaniumiza, mimi nilishamuumiza kwa hiyo imefika point tumetulia.
What we are looking for is just to make our future better na ndio maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwa sababu tayari nimeshajua kwamba he is my man, am his woman,” alisema Wema.

“Kitu ambacho kinaspice up the relationshipni kwamba tuna true love for each other, tunapendana mpaka tumepitiliza,” aliongeza.
Wema Sepetu Afunguka: Diamond Is My Man, Am Her Woman Wema Sepetu Afunguka: Diamond Is My Man, Am Her Woman Reviewed by Admin on Saturday, June 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.