Unordered List

Definition List

Lady Jay Dee Aliponda Gazeti La Udaku Kuhusu Ruge

Lady Jay Dee msanii maarufu Afrika Mashariki amefunguka baada ya uvumi kusambaa kuwa amemuomba msamaha Ruge Mutabaha kwa kumpigia magoti.

Uvumi huu wa msamaha ulikuwa ukienezwa na gazeti la udaku.

Katika akaunti yake ya Instagram staa huyu aliweka picha ya mbele ya gazeti hilo na kuweka maandishi haya:
"Katika ulimwengu huu kumbe bado kuna watu wanafikiri wanaweza kutunga uongo na dunia ikawaamini??? Duuuh! mmechelewa sana Ila km hiyo ni ndoto yenu, basi endeleeni kuota na km ni njia tu ya kujiingizia kipato, bs kila kheri. Mi nipo, mtanikuta tu....


Lady Jay Dee Aliponda Gazeti La Udaku Kuhusu Ruge Lady Jay Dee Aliponda Gazeti La Udaku Kuhusu Ruge Reviewed by Admin on Friday, June 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.