Unordered List

Definition List

Shepu Ya Shilole Ipo Matatani, Cheki Hatua Anayoichukua Sahizi


Katika tasnia ya umaarufu iliyoshika kasi kwa madada wetu wa kike, kila mtu sahizi anajaribu kuutumia mwili wake kwa ubunifu ili kuweza kuwa maarufu na zaidi kupata pesa kwa urahisi.

Hivi karibuni madada kama Corazon Kwamboko, Linda Okello ndio list mpya iliyoingika katika tasnia hii.

Na kwa wale tayari ambao wako kwa gemu?

Shilole ambaye kwa muda amekuwa top kwa kuwaridhisha mashabiki wake ameingiwa na woga wa kupoteza kile alichojenga.

Kwa kufanya mabadiliko, Shilole muda huu ameingia na full force akihit gym ili kurudi shepu.

Cheki picha:

Shepu Ya Shilole Ipo Matatani, Cheki Hatua Anayoichukua Sahizi Shepu Ya Shilole Ipo Matatani, Cheki Hatua Anayoichukua Sahizi Reviewed by Admin on Tuesday, June 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.