Unordered List

Definition List

Askari Linda Okello Arusha Picha Mpya Za Mitego Huku Wananchi Wakiuliwa Ovyo

Ukitaka kujua kuwa idara ya usalama nchini Kenya imekuwa maziwa lala mfano bora ni huyu Linda Okello.

Siku ya leo kumeamkiwa na mauaji zaidi ya watu 20, kando na ile idadi ya watu 50 siku ya jana.

So kwani kunaendaje na serikali ya Kenya imepeleka karibu polisi wa ulinzi wote nchini sehemu hio?

Labda Linda Okello anatupa taswira nzima ya usalama nchini Kenya baada ya kurusha picha hizi za mitego.
Enjoy!





Askari Linda Okello Arusha Picha Mpya Za Mitego Huku Wananchi Wakiuliwa Ovyo Askari Linda Okello Arusha Picha Mpya Za Mitego Huku Wananchi Wakiuliwa Ovyo Reviewed by Admin on Tuesday, June 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.